# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye. # Hayatamiminwa katika kiwiliwili cha binadamu Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # mfano wa haya "kwa viungo hivyo" au "kwa vitu hivyo" # mtu huyo atakatiliwa mbali na watu wake Umbo "katiliwa" lina maana sio chini ya tatu. Inaweza elezewa katika tensi tendaji. 1) "hatahesabiwa kuwa moja wa watu wa Israeli" 2)"watu wa Israeli lazima wamuondoe" au 3) "watu wa Israeli lazima wa muue"