# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye. # sanduku la ushuhuda Sanduku ni chombo chenye zile amri. # nitakapokutana nawe Hapa "nawe" ya husu Musa.