# Ikawa Hili neno linatumika kuweka alama ya tukio muhimu katika historia. Tukio muhimu hapa ni watu kuona utukufu wa Yahweh. # tazama Neno "tazama" hapa la onyesha kwamba watu waliona kitu cha kuvutia. # mkate Mungu anaongelea chakula ambacho atakituma kana kwamba ni mkate. Waisraeli watakula hichi chakula kila siku, kama walivyo kula mkate kila siku kabla ya hichi.