# mwana wa Nuni Hili ni jina la baba yake Yoshua. # Yoshua ... alikuwa amejaa na roho ya hekima Mwandishi anazungumza kana kwamba Yoshua alikuwa chombo na roho ilikuwa kitu halisia ambacho kinaweza kuwekwa ndani ya chombo. "Yahwe alimwezesha Yoshua .. kuwa na hekima sana" # Musa alimwekea mkono juu yake Maana kamili ya kauli inaweza kuwekwa wazi. "Musu aliweka mikono yake juu yake kumweka Yoshua kando ili Yoshua amtumikie Yahwe"