# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kubariki kabila za Israeli, baraka ni shairi fupi. # Dani ni mwana wa simba arukaye kutoka Bashani Watu wa Dani wana nguvu kama mwana wa simba, na wanashambulia adui zao waishio Bashani. Unaweza kuweka taarifa inayoeleweka wazi.