# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anaendelea kutoa nukuu maneno ya Yahwe. # Wamenifanya kuwa na wivu Hapa "wamenifanya" ina maana ya Yahwe. # kile ambacho sio mungu "ambayo ni miungu ya uongo" # mambo yao yasiyo na maana Unaweza kuweka wazi ambayo "vitu" ni nini. "sanamu zisizo na maana" # wale ambao sio taifa "watu ambao hawapo miongoni mwa kundi moja la watu" # taifa pumbavu Maneno "wapumbavu" na "msiojitambua" ina maana ya kitu kimoja na inasisitiza jinsi watu walivyo wapumbavu kwa kutomtii Yahwe. "nyie watu wapumbavu kabisa"