# Taarifa ya Jumla: Yahwe anaendlea kuzungumza na Musa kuhusu Waisraeli. # Uweke vinywani mwao Hii ni lahaja. "Wafanye wakariri na kuimba" # nchi inayotiririka kwa maziwa na asali Hii ni lahaja. "nchi ambayo maziwa na asali zinatiririka kwa wingi" au "nchi ambayo ni sahihi kwa mifugo na kilimo".