# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # Haupaswi kuwa na mizani ya uzito tofauti katika mfuko wako, mkubwa na mdogo Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. Unaweza kuweka wazi taarifa inayoeleweka. "Hautakiwi kudanganya watu kwa kutumia uzito ambao ni mkubwa kuliko jinsi ulivyosema ulikuwa unaponunua vitu na kwa kutumia uzito ambao ni mdogo zaidi ya ulivyosema ulikuwa unapouza vitu" # mizani Mizani ni mawe yanayotumika juu ya usawa kuthibitisha jinsi gani kitu kina uzito # Hautakiwi kuwa na vipimo tofauti ndani ya nyumba yako, vikubwa na vidogo Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. Unaweza kuweka wazi taarifa inayoeleweka. "Hautakiwi kudanganya watu kwa kutumia uzito ambao ni mkubwa kuliko jinsi ulivyosema ulikuwa unaponunua vitu na kwa kutumia uzito ambao ni mdogo zaidi ya ulivyosema ulikuwa unapouza vitu" # vipimo Kipimo kilikuwa kikapu au chombo kingine cha kupimia jinsi gani kitu kilikuwa na ujazo.