# Taarifa ya Jumla: Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "yako" hapa ni katika umoja. # pembe "manyamunyamu". Hizi ni nyuzi ambazo zimefungwa pamoja na kuning'inizwa kutoka kwenye pembe moja ya joho. # za nguo Nguo ndefu ambalo mtu huvaa juu ya mavazi yake mengine.