# na kuishi katika nchi Hii urejea kwa nchi ya Kanani. # katika nchi ambayo Yahwe Mungu anawasababisha kurithi Mungu anawapa nchi ya Kanani kwa watu wa Israeli huzungumzwa kama walikuwa baba anawapa kama urithi watoto wake. # wakati anawapa ninyi pumziko toka maadui zenu wote waliowazunguka wakati anawapa ninyi amani toka maadui zenu wote waliowazunguka" # kisha itakuwa kwamba kwa eneo ambalo Yahwe Mungu wenu atachagua kusababisha jina lake kuishi Hapa "jina" uwakilisha Mungu mwenyewe. # sadaka iliyotolewa kwa mkono wako Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima # matoleo yako yote ya kuchagua kwa ajili ya viapo "sadaka zako zote za hiari ili kutimiza ahadi