# Taarifa ya ujumla Mwandishi atoa taarifa ya nyumba kuhusu kabila la Lawi. # kusimama mbele ya Yahwe kumtumikia "kutoa dhabihu ambayo Yahwe anahitaji" # katika jina lake "kwa mamlaka ya Yahwe" au "kama mwakilishi wa Yahwe" # kama leo "kama wanavyofanya leo" # hakuna sehumu wala urithi wa nchi Kabila la Lawi hawakupokea sehemu ya ahadi ya nchi wakati walipofika huko. Maana kamili ya maelezo haya inaweza kuwekwa wazi. # Yahwe ni mrithi wake Yahwe azungumza kwa mahusiano maalamu ambayo Aaron na uzao wake watakuwa pamoja naye kama Yahwe alikuwa kitu watakachoridhi. # Yahwe Mungu wenu Musa azungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja, hivyo neno "wewe" hapa ni umoja. # kuzungumzwa kwake "kuzungumzwa kwa kablia la Lawi."