# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja. # Usiseme katika moyo wako Hapa "katika moyo wako" ina maana "katika mawazo yako" # amewatupa nje "amewaondoa watu wengine nje"