# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe. Katika mstari wa 25 azungumza na makundi kama makundi, kwa hiyo mifumo ya "wewe" viko kwa wingi, lakini mstari wa 26 azungumza kama wanaisraeli wako mtu mmoja, kwa hiyo mifumo iko kwa umoja. # Utachoma Hii ni amri # miungu yao "miungu ya mataifa mengine" # usitamani...utanaswa nayo Haya maneno yaongeze kwa maelekezo ya kuchoma sanamu. # utanaswa nayo Hata kama kuchukua dhahabu na fedha kwenye sinamu kungesababisha watu kuanza kuiabudu. Kwa kufanya hivyo watakuwa kama mnyama aliyeshikwa kwenye mtego. Hii inaweza kutajwa katika mfumo tendaji. # kwa kuwa ni chukizo kwa Yahwe Mungu wenu Haya maneno uwambia kwanini Yahwe ataka watu kuchoma sanamu. "fanya hivi kwa sababu Yahwe Mungu achukua sana" # Kwa hakika utachukizwa na kuzuia Maneno "kuchukiza" na "chukia" kwa msingi umaanisha kitu kile kilie na kusisitiza kiwango cha chukizo. # kwa kuwa imetengwa kwa ajili ya uharibifu Yahwe analaani kitu fulani na kuahidi kukiharibu kama ilinavyozungumzwa kama Yahwe alikuwa anaweka kitu fulani tofauti na kila kitu. Hii inaweza kutajwa kwa mfumo tendaji. :"kwa kuwa Yahew amekwisha tenga kwa maangamizi"