# mkuu na mwenye nguvu Maneno haya mawili kimsingi yanamaanisha kitu kile kile na kutia mkazo juu ya ukubwa wa nguvu za Mfalme. # hakuna yeyote awezaye kumwambia mfalme isipokuwa miungu Maneno haya hameelezwa kwa kukanusha kwa ajili ya kutia mkazo. Yaweza pia kuelezwa kwa sentensi chanya. "Ni miungu tu yaweza kumwambia mfalme hili"