# Kwa hiyo Neno hili linanyesha maelezo ya kilichosemwa kabla. Hivyo Festo alisema mtu aliyeshitakiwa anatakiwa awakabili washitaki wake na kujitetea. # Walipokuja pamoja hapa "wakati viongozi wa Kiyahudi walipokuja kuonana na mimi hapa" # Nilikaa kwenye kiti cha hukumu "Nilikaa juu ya kiti ambacho nilifanya kazi ya hakimu" # Niliamuru mtu huyo aletwe ndani "Niliamuru askari wamlete Paulo mbele yangu" # Dini yao wenyewe Neno "dini" linamaanisha mfumo wa imani ya watu juu ya maisha na nguvu. # Kuhukumiwa kule juu ya mambo haya "ambapo baraza la Wayahudi wataamua kama anamakosa kuhusu masitaka haya"