# Sentensi unganishi Hii ni tukio lingine katika hadithi; inahusu Paulo na Sila gerezani na mlinzi wa gereza # wakiwasikiliza wao "Neno wao" linamaanisha Paulo na Sila, ambao walikuwa wakiomba na kuimba nyimbo za kumsifu Mungu. # na misingi ya gereza ikatikiswa "ambayo ilitikisa misingi ya gereza" # minyororo yao ikalegezwa "minyororo yao waote ilifunguka"