# Sentensi unganishi Luka anaendelea na simlizi ya tukio jipya kuhusu Petro. # Maelezo ya jumla Mistari hii inatupa historia ya mwanamke aliyeitwa Tabitha. # Palikuwa Hili linamtambulisha sehemu mpya katika simulizi. # Tabitha, ambalo lilitafsiriwa kama "Dorcas." Tabitha ni jina lake katika lugha ya kiaramaiki,na jina la Dorcas katika lugha ya Kigiriki. Majina yote yalikuwa na maana ya "paa." # alijaa matendo mema "anafanya mengi mazuri ya kweli" # Ilitokea katika siku hizo "Ilitokea wakati Petro alipokuwa Lida". # walipomsafisha Waliusafisha mwili ikiwa ni maandalio ya maziko yake. # walimpandisha chumba cha juu na kumlaza. Huu ilikuwa ni utaratibu wa muda wa kuuonyesha mwili wakati wa maandalizi ya mazishi.