# Sentensi unganishi: Petro anaanza kuwasilisha hotuba yake kwa Wayahudi siku ya Pentekoste. # alisimama pamoja na wale kumi na mmoja Mitume wote walisimama kuunga mkono hoja ya Petro # hili lijulikane kwenu, sikilizeni kwa makini Petro anaelezea tukio ambalo watu wamelishuhudia likiendelea. Wamsikilize kwa makini # saa hizi ni asubuhi saa tatu. "saa tatu za asubuhi. Petro anawafikirisha wasikilizaji wajue kuwa watu hawanyi wala hawalewi muda huo wa mapema katika siku.