# Bonde la Mfalme Hili ni jina la eneo. # Sina mwana wa kuchukua kumbukumbu ya jina langu Absalomu anatumia kifungu "jina langu" kujitaja mwenyewe na familia yake. # hivyo inaitwa Mnara wa Absalomu hata leo Hii yaweza kuelezwa kuwa hivyo watu wakaiita nguzo ya Absalomu tangu siku hiyo. # Hata leo hii Hii inamaanisha wakati kitabu kinaandikwa.