# Mfalme Daudi akatuma Inafahamika kwamba Daudi alituma wajumbe. # Mefiboshethi Hili ni jina la mwanaume # alikuja kwa Daudi Neno "alikuja" laweza fasiriwa kuwa "alikwenda." # Mimi ni mtumishi wako Mefiboshethi anajirejerea kama "mtumishi wako" kuonesha heshima kubwa kwa mfalme.