# Kisha Daudi akamshinda Hadadezeri Hapa wote "Daudi" na "Hadadezeri" wanawakilisha majeshi yao. "Daudi na jeshi lake walimshinda Hadadezeri na jeshi lake" # Hadadezeri... Rehobu Haya ni majina ya wanaume. # Soba Hili ni jina la jimbo katika Shamu. # Kuurudisha ufalme wake "Kurudisha utawala juu ya mkoa" au "kulishika tena mkoa" # askari wa miguu ishirini elfu "20,000 watu wa miguu" # Daudi akawakata miguu Hili ni tenda ambapo sehemu ya nyuma ya miguu inakatwa ili farasi wasiweze kukimbia. # kutunza ya kutosha "kutenga ya kutosha" au kutunza ya kutosha" # vibandawazi mia moja "vibanda wazi 100"