# Sentensi Unganishi Yohana anawaonya kuhusu wazushi, na kuwakumbusha kubaki katika mafundisho ya Kristo na kujiepusha na waasi # Kwa kuwa wadanganyifu wengi wamesambaa katika ulimwengu. "Walimu wengi wa uongo wamekwisha liacha kusanyiko" au " wadanganyifu wengi wapo ulimwenguni" # wadanganyifu wengi. "walimu wengi wa uongo" au "wazushi" # katika ulimwengu Hapa inaelezea kila mtu aliyeko hai katika ulimwengu huu. # Yesu Kristo alikuja katika mwili. "Yesu alikuja katika hali ya mwili wa kibinadamu." # Huyu ndiye mdanganyifu na mpinga Kristo " Ni wale wanaowadanganya wengine na kumpinga Kristo mwenyewe" # mpinga Kristo. " kinyume na Kristo" # Jiangalieni wenyewe. "Iweni macho" au " iweni waangalifu." # hampotezi mambo "kutopoteza tuzo zenu za wakati ujao kule mbinguni." # tuzo kamili "tuzokamili kule mbinguni"