# Mwisho wa mambo yote unakuja "Karibuni Yesu atarudu na kukomesha mambo yote katika dunia hii # mwe na ufahamu ulio sahihi, na mwe na nia njema katika kufikiri kwenu Maneno yote haya mawili yana maana ya jambo moja. Petro anayatumia kufafanua hitaji la kutafakari juu ya maisha wakati ukikaribia kuisha. # kufikiri kwenu Neno linaelezea waumini wote # kwa kuwa upendo hautafuti kufunua dhambi za wengine Petro anaelezea "upendo" kama vile mtu. Mtu anapopenda wengine hawatafanya juhudi kutafuta kama mwingine ametenda dhambi. # ukarimu kuonyesha ukarimu kwa wageni na wasafiri