# Sasa wale watu Neno "sasa" halimaanishi "wakati huu," Bali limetumika ili kupata usikivu kwa ajili ya mambo yanayofufata. # ishara yeyote kutoka kwa Ahabu "Kwa kuwa tendo lolote toka kwa Ahabu ambalo litawaonesha kuwa Ahabu anataka kuwa mwenye neema"