# yalikuwa ndani ya makalio neno "yao" linamaanha zile papi na neno "ndani" linamaanisha jinsi ile mikono ilivyokuwa ilivyokuwa imechomekwa kwenye zile papi. # Yale magurudumu yalikuwa kama ya gari. "Huramu alitengeneza yale magrurdumu kuwa kama magurudumu madogo ya gari" # Mikono yake, na maduara, matindi yake, na vipande vya ndani Neno "yake" limaanishsa yale magurudumu.