# mwaka wa nne ... mwaka wa kumi na moja Hii ni miaka inayohesabiwa tangu Sulemani alipokuwa mfalme # Nyumba ya BWANA "hekalu" # katika mwezi wa Ziv Tazama 6:1 # Katika mwezi wa Buli "Buli" ni mwezi wa nane wa kalenda Kihebrania. Mwezi huu uko katika ya sehemu ya mwezi Oktoba na sehemu ya kwanza ya mwezi wa Novemba.