# Taarifa kwa ujumla Adoniya anakuja kuongea na Bathisheba # kwa amani "bila kuwa na kusudio la kusababisha maumivu" # mambo yamebadilika "Kile kilichokusudiwa kutokea hakikutokea" # ufalme umegeuzwa na umekuwa wa ndugu yangu "BWANA alimpatia ufalme ndugu yangu" au "ndugu yangu amekuwa mfalme"