# Taarifa za jumla: Daudi anaendelea kuongea na Waisraeli. # Kisha sasa Hii ina ashiria kwamba Daudi ameanza awamu mpya katika hotuba yake. # mshike na kufanya Maneno haya "kufanya" yanamaanisha kitu kimoja na "mshike" Kwapamoja maneno yanahamasisha umuhimu wa kufanya kile Mungu alicho amuru. # watoto wenu baada yenu " watoto wenu ambao watachukua nafasi zenu baada ya kufa"