# nitawakabidhi kwako "nitakupa ushindi juu yao" # Baali Perazimu Hili ni jina la sehemu # kwa mkono wangu Hii ya husu vifaa vya Daudi. "kutumia jeshi langu" # kama vile mpasuko wa mafuriko ya maji. Nguvu na ushindi wa jeshi la Daudi wafananishwa na mpasuko wa mafuriko ya maji. "kwa urahisi" # wateketezwe kwa moto "kuchoma miungu yao ya uongo"