# kwa ajili ya jina lako x # adui wa maisha yangu "adui wanaotaka kuchukua maisha yangu" # Katika uaminifu wako wa agano wakate adui zangu "Onesha uaminifu wako wa agano kwa kuwakata adui zangu" # adui wa maisha yangu "adui wa nafsi yangu" au, kuchukua "maisha yangu" kama njia nyingine ya kusema "mimi", "adui zangu"