# Mungu amezungumza katika utakatifu wake Hapa Daudi anaeleza Mungu kusema kitu kwa sababu ni mtakatifu kama kuzungumza "katika utakatifu wake," kana kwamba utakatifu wake ni kitu ambacho yuko ndani yake. "Mungu, kwa sababu ni mtakatifu, amesema" # Nitaigawa Shekemu na kuligawa bonde la Sukothi Hapa Mungu anazungumza kuhusu kuigawa nchi ya Shekemu na bonde la Sukothi. # kugawa kugawa katika vipande # Efraimu ni kofia yangu pia Mungu analizungumzia kabila la Efraimu kana kwamba lilikuwa jeshi lake. Kofia ya chuma inaashiria kifaa cha vita. "Efraimu ni kama kofia ya chuma niliochagua kwa ajili ya vita" au "Kabila la Efraimu ni jeshi langu" # kofia ya chuma Kofia ngumu ambayo askari huvaa kulinda vichwa vyao dhidi ya majeraha. # Yuda ni fimbo yangu Mungu alichagua watu kutoka kabila la Yuda kuwa wafalme wa watu wake, na analizungumzia hilo kabila kama vile ni fimbo yake. "Kabila la Yuda ni kama fimbo yangu" au "Yuda ni kabila ambayo natawalia watu wangu"