# Sentensi unganishi Mandhari yanabadilika nakuto eleka wakati wa mbale. Yesu anatumia nafasi ya kuwaonya wanafunzi juu ya Mafarisayo na Masadukayo # upande wa pili upande wa pili wa ziwa au upande wa pili wa bahari ya Galilaya # chachu ya Mafarisayo na Masadukayo Hapa chachu inamaanisha mawazo macahfu na mafundisho yasiyo sahihi ya Mafarisayo Tazama 16:12. # Wakahojiana miongoni mwao wakajadiliana # eneyi wenye imani ndogo Ninyi mlio na imani ndogo Tazama 6:30 # kwa nini mnawaza... hamkuchukua mikate Ninasikitika kuwa mnadhani kuwa mlisahau kuchukua mikate kwa sabasbu nimeongea juu ya chahu ya Mafarisayo na Masadukayo.