# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kwaeleza wanafunzi wake mfano wa mpanzi # yeye aliyepandwa katika miamba "kilichopandwa" kinamaanisha mbegu iliyoanguka kwenye miamba. # Kilichopandwa kwenye miamba ni miamba ambapo mbegu zilianguka inmaanisha udongo uliokuwa juu ya miamba ambapo mbegu zilianguka # yule asikiaye neno katika mfano, mbegu zinamaanisha neno # neno ujumbe wa Muungu # hulipokea kwa furaha kulipokea neno kwa furaha # ila hana mizizi ndani yake hiyo huvumilia kwa kitambo kifupi. mizizi inamaanisha kile kinachomfanya mtu aendelee kuamini ujumbe wa Mungu # hujikwaa ghafla kujikwaa humaanisha kuacha kuamini ujumbe wa Mungu