# Upigaji wa kura ya tano Tafasiri kirai hiki kama ulivyofanya katika 19:1 # wa tano namba ya tano katika orodha # walipewa kwa koo zao Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "ambayo Yoshua aliwapa kwa koo zao" # Helkathi, hali, Beteni, Akshafu, Allameleki, Amadi, na Mishali..Shihori Libnathhi Haya ni majina ya sehemu/mahali