# Maelezo ya jumla Yoshua anawaambia kile ambacho Yahweh alikuwa yuko karibu kufanya # atawaondosha mbele yenu Yahweh atafukuzia mbali watu wengine walioishi katika ili watoke au wauwawe. # kuvuka "kuvuka" ina maana ya kwenda upande mwingie wa ukingo wa mto, au '' kusafiri kutoka upande kwenda upande mwingine."