# Maelezo ya Jumla Mpenzi anaendelea kueleza nini angependa amfanyie mwanamke. # Mdomo wako na uwe kama mvinyo bora "Ninataka kuuonja mdomo wako kama mvinyo bora." # ukishuka taratibu kwa mpenzi wangu Mpenzi anafurahia mabusu mororo ya mwanamke. # ukiteleza kwenye midomo yetu na meno "unao shuka kwenye midomo yetu na meno"