# watoto wa wanadamu Msemo huu unamaanisha wanadamu wote. # wanaonitafuta Hii inafafanua wote wanaotamani kumjua Mungu kana kwamba walikuwa wanamfuata kabisa kwenye njia. "wanaotamani kumjua" # Wote wamegeuka Hii inaelezea watu waliomkataa Mungu kana kwamba waliacha kutembea kwenye njia sahihi na wameenda upande mwingine. "Wote wamemgeuka Yahwe"