# hufanya kazi kwenye ardhi yake maana yake kulima , kupanda na kutunza mazao # yeyote mtu yeyote # afuataye mambo yasiyofaa mtu anayeshughulika na mambo ambayo hayazalishi chochote. # atapata umaskini mwingi "atakuwa maskini sana" # yeye apataye utajiri kwa haraka hatakosa adhabu "Mungu atamwadhibu yule ambaye hupata utajiri kwa haraka" # yeye apataye utajiri kwa haraka "yeye anayejaribu kupata utajira kwa haraka"