# Kama yeye "kama mtu" # atageuzia mbali sikio lake kuisikia sheria "atageuzia mbali sikio lake kusikia na kutii sheria" # hata maombi yake ni chukizo "Mungu anachukia hata maombi yake" # chukizo angalia 3:31 # Yeyote mwenye kumpotosha mwenye haki katika njia mbaya "Yeyote anayesababisha mwenye haki kwenda katika mwelekeo mbaya" # Yeyote mwenye kumpotosha...njia mbaya ataanguka "kama mtu yeyote atampotosha...njia mbaya ataanguka" # mwenye haki "watu wanyoofu" # ataanguka kwenye shimo lake mwenyewe "ataanguka kwenye mtego ambao ameuchimba" # wakamilifu "watu wakamilifu" # watapata urithi mzuri "watarithi kitu kizuri"