# weka mbali nawe maongezi ya ukaidi na weka mbali mazungumzo ya ufisadi "usiongope na kusema kwa udanyanyifu" # macho yako yatazame mbele na ukaza mtazamo mbele sawasawa "utazame mbele daima na ukaze mtazamo wako mbele moja kwa moja"