# Maelezo ya Jumla Baba anaendelea kuwafundisha watoto wake mambo ambayo yeye alifundishwa na baba yake # Jipatie hekima "fanya bidii kupata hekima kwa ajili yako mwenyewe" au "pata hekima" # usiyasahau "yakumbuke" # usiyakatae "kubali" # maneno ya kinwa changu "yale ninayonena" # usimwache hekima na naye atakulinda; mpende na yeye atakuweka salama Mwandishi ananena juu ya hekima kama mwanamke ambaye humlinda mtu ambaye ni mwaminifu. # usimwache hekima " ishikilie kwa nguvu kabisa hekima"au " uwe mwaminifu kwa hekima" # mpende " mpende hekima"