# Sisi tulioukulia wokovu, tunapaswa kuwaza namna hii. Paulo alitaka wakristo wenzake wawe na hamu ile ile kama yeye alivyo. Kuwa imara katika imani Kufikiri katika jambo moja. # Mungu pia atalifunua hilo kwenu "Mungu pia atalifanya wazi kwako" au "Mungu atakuhakikishia unalijua" # Mungu atakifunua hilo kwenu Mungu ataweza wazi hilo jambo au kitu hicho kwako/kwenu # Kwa vyovyote tulivyokwisha kuwa , na tuenende katika hali hiyo Na tuendelee kuutii ukweli wa neno la Mungu ule ambao tumekwisha pata tayari.