# ulitetea kesi yangu Hii yatoa picha ya mahakama, ambapo mwandishi anashitakiwa. Katika hii picha, Mungu anamtetea, kama wakili anavyo mtetea mteja wake. # hukumu kesi yangu Hapa Mungu haendelei kuonekana kwenye picha kama wakili, lakini kama mtoa hukumu. # matusi yao, mipango yao yote dhidi yangu Hii mistari miwili ina shiriki maana moja na imewekwa pamoja kwa mkazo. # Umesikia dhihaka yao "Umesikia wakinikejeli"