# Mungu akaona yale waliyoyafanya "Mungu alielewa kuwa waliacha kufanya vitendo mabaya" # wakaziacha njia zao mbaya Mwandishi anazungumzia watu wameacha kutenda dhambi kama wamegeukia kwenye kitu. # Mungu alibadili mawazo yake juu ya adhabu aliyowaambia angewafanyia, "Mungu alibadili mawazo yake juu ya adhabu aliyowaambia angewafanyia" au "Mungu aliamua kuwaadhibu kama alivyosema" # nae hakufanya hivyo Nini Mungu alipaswa kufanya inaweza kufanywa wazi. AT "na hakuwaadhibu' au 'na hakuwaangamiza"