# Maelezo ya jumla Elihu anazidi kuongea # Na tujichagulie sisi Hapa "sisi" inamrejelea Elihu, Ayubu, na marafiki wake watatu. # ameondoa haki zangu "amekataa kunipa haki " # , ninaangaliwa kama mwongo "marafiki zangu hudhani mimi ni mwongo" Hii huenda yaweza kumaanisha: "Mungu hasemi ukweli kuhusu mimi" # Kidonda changu hakiponyeki, "mimi ni mgonjwa na hakuna awezaye kuniponya"