# Taarifa ya Jumla Isaya anaendelea kuzungumza # Kwa hiyo ali "Kwa hiyo Yahwe" # alimwaga ghadhabu yake kali dhidi yao Isaya anazungumzia ghadhabu ya Yahwe kana kwamba ilikuwa kimiminikio ambacho kinaweza kumwagwa nje. "alionyesha ghadhabu yake kali kuwaelekea wao" # dhidi yao "dhidi yetu". Hapa "yao" ina maana ya watu wa Israelii, lakini Isaya bado anajumlisha mwenyewe kama sehemu ya watu. # kwa uharibifu wa vita Neno "uharibifu" linaweza kutafsiriwa kwa kitenzi. "kwa kuwaharibu wao kwa vita" # Uliwaka kuwazunguka ... ukawaunguza Isaya anazungumzia ghadhabu kali ya Yahwe kana kwamba ilikuwa moto ambao uliwachoma watu. # hawakuliweka moyoni Kuzingatia kwa makini kwa jambo na kujifunza kwake inazungumziwa kana kwamba walikuwa wakiweka jambo hilo juu ya moyo wa mtu. "hawakuzingatia kwa makini" au "hawakujifunza kutoka kwake"