# Yahwe atakuwa na huruma kwa Yakobo Hapa "Yakobo" ina maana ya vizazi vya Yakobo. "Yahwe atakuwa na huruma juu ya vizazi vya Yakobo" # kujishikiza katika nyumba ya Yakobo Nyumba ya Yakobo ina maana ya vizazi vya Yakobo, Waisraeli. "jiunge na vizazi vya Yakobo" # Mataifa yatawaleta katika sehemu zao wenyewe "Mataifa yatarudisha vizazi vya Yakobo katika nchi ya Israeli" # nyumba ya Israeli Hii ina maana ya Waisraeli, vizazi vya Israeli. "vizazi vya Israeli" # Watachukua mateka wale ambao waliwakamata "Wanajeshi wa Israeli watachukua kama mateka wale ambao waliwakamata Waisraeli"