# Sentensi Unganishi: Hili ni onyo la pili na ni refu na liko katika undani na linajumuisha sura ya 3 na 4. Mwandishi anaanza kwa kwa kuonyesha kwamba Kristo ni bora zaidi ya Musa mtumishi wake. # ndugu watakatifu Neno "ndugu" linamaanisha wakristo wenza, inajumuisha wanaume kwa wanawake. AT: "kaka na dada watakatifu" au "ndugu watakatifu wenzangu" # mnashirika katika mwito wa mbinguni "Mbinguni" hapa ina mwakilisha Mungu. AT: "Mungu ametuita pamoja" # mtume Neno hili linamaanisha mtu aliyetumwa. Katika kifungu hiki hakimaanishi mtume kati ya wale kumi na wawili. AT: "aliyetumwa" # ya ukiri wetu hii inaweza kusemwa ili kwamba nomino dhaniwa "kutubu" inelezea kama kitenzi "tubu." AT: "ambaye tunayemtubia" au "ambaye katika yeye tunaamini" # katika nyumba ya Mungu Waebrania ambao Mungu amejifunua kana kwamba ilikuwa ni nyumba halisi. AT: "kwa watu wote wa Mungu" # Yesu amefinywa Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu amemfanya Yesu" # yeye ajengaye kila kitu Matendo ya Mungu ya uumbaji wa ulimwengu yanaongelewa kana kwamba amejenga nyumba. # kila nyumba imejengwa na mtu Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. AT: "kila nyumba ina mtu aliyeijenga"