# Sentensi unganishi Paulo anaeleza jinsi Roho anavyo na mamlaka dhidi ya dhambi # tembea kwa kwa Roho Kutembea ni mfano wa kuishi. "enendeni katika maisha yenu katika nguvu za Roho Mtakatifu" au "ishi maisha yako kwa kumtegemea Roho" # hamtazitimiza tamaa za mwili "hamatazifanya dhambi ambazo mnataka kuzifanya kwa sababu mko binadamu" # hamko chini ya sheria Hamuwajibiki kutii sheria ya Musa