# mimi inamrejea Yahwe # nitakavo uangamiza kwa ghadhabu yangu "wakati nitendapo juu ya hasira yangu nitaleta mwisho" # kuupaka chokaa "kuupaka ukuta rangi nyeupe" # Ukuta hautaonekana tena, wala watu wanaoupaka "Ukuta hauko huko tena, wala watu" # monoa amani kwa ajili yake Neno "yeye" inarejea kwa Yerusalemu. # hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo Tazma tafsiri yake katika 5:11.